Deadline ya CAS- NACTE applications-2016
Tukumbushane jamani. Deadline inakaribia ya kufunga CAS -NACTE. Deadline ni 31ST MAY, 2016. TUFANYE MAREKEBISHO YA MWISHO. Mwenye taarifa za kusaidia waliiomba katika lala salama hii tufahamishane!
View ArticleNaomba kujua ni kweli mwalimu wa degree mwenye carring over anaweza ajiliwa?
habari wana JF i hope ni wazima wa afya ninaswal ninataka kujua b'se kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua nimeona nikilileta hapa naweza pata majibu hiv mwalimu aliyemaliza degree lakin hakugadurate...
View ArticleMsaada kuhusu kozi ya awali ya ualimu (bridging course)
Kuna vyuo vya ualimu vinatoa matangazo kuwa, iwapo mtahiniwa hana sifa za ufaulu kuingia stashahada (diploma) atasoma kozi fupi (bridging course) baada ya hapo atakuwa na sifa ya kuendelea na diploma....
View ArticlePost au selection za form five 2016/2017 lini?
Wakuu salamu Naombeni kuuliza lini post zitatoka kwa mwenye tetesi anaweza tuambia pia je wanafunzi wataanza kufanya maandalizi lini na ningependa kujua process za uhamisho ukipangiwa shule hauko...
View ArticleBodi ya mikopo (HESLB) kunani??
Bodi ya mikopo (Heslb) mpaka sasa hawajatoa fomu au maelekezo kwa wahitimu kidato cha sita 2016 na watu wengne wenye uhitaji wa ufadhiri wa masomo kwa mwaka wa masomo 2016/17 tofaut na ilivyozoeleka...
View ArticleNAOMBA KUELEWESHWA KUHUSU CHETI CHA FORM FOUR
Habari wana Jf.! Naomba kuuliza kwamba hivi vyeti vya form four huwa vinachukua mda gani kutolewa?
View ArticleMsaada kwa aliyewahi kusoma Malawi
habari za saa hizi waungwana najua huku nakutana na wasomi wengi nilikua naomba kujua kama kuna aliyesoma Malawi level yeyoye tuwasiliane kuna mambo mengi ningetaka tuongee na tushauriane pia ni msaada...
View ArticleNini tofauti ya hesabu na Hisabati
tangu ningali mdogo nimekuwa nikiyasikia nakuyatumia maneno haya hesabu' na 'hisabati' lakini naomba nikiri wazi kuwa hadi leo sijui tofauti yake na sijui kama nilikuwa nikiyatumia kwa usahihi,kwa kuwa...
View ArticleNatafuta shule ya kufanyia field wilaya ya Ubungo
habari za majukumu wakuu? kama title ya uzi inavyojieleza, mm ni mwalimu-mwanafunzi nasoma baed with math and IT. natafuta shule hususani shule ya binafsi iliyopo ndani ya wilaya ya ubungo kwa ajili ya...
View ArticleMwenye kujua ajira za walimu zitatoka lini anifahamishe plz
Wana JF wenye kujua na wenye uhakika wanisaidie kujua, ajira mpya za walimu zitatoka lini, maana nashindwa kuelewa sababu matamko yamekuwa mengi ila matendo hakuna. Mwenye kujua tafadhali.
View ArticleMada Maalum kwa Wahasibu, Wakaguzi wa Mahesabu na Wataalam wa Kodi
Wanajukwaa, Hapa ndipo tutakua tukishauriana na kupeana habari za mambo tuliyosomea. Karibuni wadau. ========== Ikiwa taaluma muhimu katika ustawi wa jamii nzima, bila mahesabu mazuri ikiwemo mipango...
View ArticleChannel Ten – Bodi Ya Tume ya Vyuo Vikuu Nchini Yavunjwa
[Channel Ten – Bodi Ya Tume ya Vyuo Vikuu Nchini Yavunjwa] is good,have a look at it! Channel Ten – Bodi Ya Tume ya Vyuo Vikuu Nchini Yavunjwa
View ArticleSUA vs UDSM.
Why similar in classification but differs in marks btn the two. SUA-MOROGORO GRADE -POINT MARKS A: 70 – 100% (4.4 – 5.0) = Excellent B+: 65 – 69.9% (4.0 – 4.4) =Very Good B: 60 – 64.9% (3.0 – 3.9)...
View ArticleAliyesoma CBG combination anaweza kusoma kozi za afya?
Kwa mwenye uelewa wa hili jambo, mtu aliyesoma CBG anaweza kusoma health related courses such as CO, MD Nursing etc.
View ArticleBodi ya Mikopo watafungua lini mtandao wao?
Jamani naomba kujua kama OLAS ni lini watafungua mtandao
View ArticleMedical Students Mwaka wa 3 (MD3) wa ST.Francis wote wameachishwa chuo
Jamani hii sio haki kabisa wala sio fair kuwafanyia watu hivi!,Hawa watu wamelipa Ada,wamepoteza mda wao miaka 3 sio mchezo halafu unakuja kuwapa Disco kwa sababu ambazo hazina Mashiko sanaa! Hii ni...
View ArticleUtaratibu wa walimu kubadilishana vituo vya kazi
Naomba kuuliza jmn. Utaratibu wa jambo hili ukoje hasa ktk mda wa kukaa kazin. Mf kwa mwalimu mwenye kwaka mmoja kazini anaruhusiwa kubadilishana baada ya kuthibitishwa kazin?
View ArticleTAARIFA KWA WAHITIMU WALIOGUSHI MALIPO YA ADA KAMPASI YA DODOMA | College of...
Jionee kizazi hiki kilivyofundishwa ufisadi toka vyuoni,Ajabu na kweli.....sipati picha wakiwa kazini hawa watu.... Yaani mwanafunzi unafoji malipo ya ada? Hawa watu ilibidi wafutiwe vyeti ndio iwe...
View ArticleNursing diploma walioapply
Habarini wanaJF. Hivi kwa wale walio-apply diploma in nursing (in services) kwa ajili ya ku-upgrade mwezi April, kuna ambao walitumiwa email kuwa watume tena barua za udhibitisho wa kazini nk. Ndugu...
View ArticleMsaada wenu nahitaji kufahamishwa kuhusu bodi ya mkopo
Wakuu shkanooni!! Mimi ni muhitimu kidato cha nne mwaka 2012 niwe muwazi matokeo yangu hayakuwa mazuri sana Nina C mbili na D kadhaa...... nilikwenda kusoma Sheria UDSM ambapo nilifaulu vizuri.......
View Article