Quantcast
Channel: Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927

Mwenye kujua ajira za walimu zitatoka lini anifahamishe plz

$
0
0
Wana JF wenye kujua na wenye uhakika wanisaidie kujua, ajira mpya za walimu zitatoka lini, maana nashindwa kuelewa sababu matamko yamekuwa mengi ila matendo hakuna. Mwenye kujua tafadhali.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>