Quantcast
Channel: Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927

Mada Maalum kwa Wahasibu, Wakaguzi wa Mahesabu na Wataalam wa Kodi

$
0
0
Wanajukwaa,

Hapa ndipo tutakua tukishauriana na kupeana habari za mambo tuliyosomea.

Karibuni wadau.
==========
Ikiwa taaluma muhimu katika ustawi wa jamii nzima, bila mahesabu mazuri ikiwemo mipango ya fedha na kudhibiti matumizi pia kodi ikiwa kipengele muhimu kuiwezesha nchi kujiendesha na kuendesha huduma za jamii bila kuumiza biashara husika. Kwenye mada hii tutasaidiana kuhusu taaluma hizi zinazofungamana.

Karibuni

Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>