Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
Hivi inachukuwa mda gani kufunguliwa kwa system ya kuapply mikopo baada ya mtihani wa kidato cha sita naombeni msaada
View ArticleSalamu zangu ziwafikie Bodi ya Mikopo (HESLB)
Ndugu wanajamvi hawa Bodi ya mikopo (HESLB) wanasikitisha sana. Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza, mkopo wangu ulienda UDSM wakati mimi nimechaguliwa chuo kingine.Cha ajabu tokea nianze chuo huwa kuna...
View ArticleBodi ya Mikopo kwa walio appeal
Habari wana jamiiforum Naomba kuuliza hivi kwa walio appeal mikopo hadi sasahivi imeshapita zaidi ya miezi mitatu hamna feedback yoyote hadi sasahivi semester inaisha au ndio wameshawapotezea
View ArticleUdhaifu wa Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu
Ndugu wanajamvi msinione nalia nataasisi hii wananitesa sana , Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa mwaka wa 1mikopo yao ilioenda vyuo vingine na tulivyochaguliwa hakika usiombe ukutwe wewe ,mwanao au nduguyo...
View ArticleNaomba wahusika wa bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu mnisaidie hili.
Ndugu wana jamvi kunakijana mmoja namsomesha yupo SUA mwaka wa 1 mkopo wake wa chuo ulienda udsm sasa amefungua chuo tarehe 09.11.2015 akafika chuoni nimelipia taratibu za usajiri kila kitu nikamuachia...
View ArticleMSAADA WA HARAKA JAMANI
jamani mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ATC NASOMA TELECOMUNICATION AND ELECTRONICS NATAFUTA FIELD SASA KUNA KAMPUNI INAITWA CAM SAT SIJUI IPO WAP NATAKA NIKAOMBE HAPO JAMANI NISAIDIENI WIKI YA TANO SASA...
View ArticleMsaada: Advanced Mathematics 1&2 notes
My dear friends. I'm really in need of advanced mathematics notes 1&2. Please if you have it email me through amwamtobe@gmail.com. If it costs anything, please let us negotiate through that email....
View ArticleTatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?
Habari wana JF , Kuna tatizo gani endapo mtu hatakwenda JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kuchaguliwa? Naombeni ushauri tafadhali
View ArticleChuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe...
Wadau naomba msaada. Nina uncle wangu anataka kumrejesha mtoto wake aje asomee shahada ya biashara kwenye University/Chuo hapa Tanzania. Ameniomba ushauri kuhusu wapi ampeleke mtoto wake (Chuo bora kwa...
View ArticleMsaada kuhusu bachelor degree of actuary,quantity survey
Msaada kuhusu bachelor degree of actuary,quantity survey
View ArticleBodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu tusaidieni
Ndugu zangu bodi ya mikopo hili tatizo letu la mikopo ilioenda sehem nyingine na tulipochaguliwa mmefikia wapi kulitatua njaaa inatuuuma sana ,kuna wengine ni watoto YATIMA mnategemea waishije?Mlitoa...
View ArticleBODI YA MIKOPO TANZANIA ( Msaada wanajamvi)
Ndugu zangu naombeni msaada wenu Leo nilikuwa nalipia fomu Bodi ya mkopo Kupitia ile njia ya OLA Katika kujaza nimekosea mwaka Badala ya 2013 nikaweka 2016 Je nawezaje kubadili hii taarifa au ndiyo...
View ArticleNafasi mbalimbali za kujiunga vyuo vya afya 2016/2017
http://www.*****************/2016/02/nafasi-za-kujiunga-kozi-mbalimbali.html http://www.*****************/2016/02/mpyaapplication-za-kujiunga-diploma-ya.html
View ArticleMwalimu wa kubadilishana,Msingi
Mimi mwalimu Mwenfua kalaghe wa Msingi,natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae aje Tabora Nzega mimi niende Mkoa mmojawapo kati ya Dar,Morogoro,Tanga au Mkoa wowote wa Pwani. 0788148501.
View ArticleNaomba ushauri kuhusu JKT
Habari zenu mimi ni mmoja kati ya wanafunzi waliochaguliwa jeshin nina tatizo la kuanguka ambalo halitambulik hospital je nikienda jeshin halafu ikanitokea watachukua hatua gan? Pia naweza kutafuta...
View ArticleNimechoka kusubiri ajira za walimu
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo...
View ArticleUalimu ni fani ngumu
Walioko nje wanalia wanataka kuingiaaa Ndani. Pia walioko Ndani wanalalamika mshahara mwezi huu vipi hazina? Unajifunza nini hapo kuhusu hii field ya ualimu ambayo haina hata marupurupu ? Usipojiongeza...
View ArticleJe ni taasisi gani inaweza kunidhamini kusoma shahada ya uzamili?
Naomba kujuzwa juu ya hili swala, Je kuna taasisi yoyote yenye kudhamini wa shahada ya uzamili hapa Tanzania? Kama wanaofisi zao mahali ama wana anwani yeyote inayo fahamika naomba msaada kuwapata...
View ArticleWALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email),...
View Article