Quantcast
Channel: Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Browsing all 21927 articles
Browse latest View live
↧

Mbinu za kutozungumza broken English

Zipo mbinu nyingi sana za kufuta au kupunguza kuzungumza au kuandika broken English. Ni vizuri kutoa mbinu kulingana na broken husika. Hivyo, andika au uliza kwa Kiingereza ili tuangalie broken ipo...

View Article


Website inayotoa notes za mathematics-Kwa Advance

Habari za usiku wadau wa JF- naomba link ya website inayotoa notes za mathematics kwa advance level.Natumain nitapata ufumbuzi wa hili swala.

View Article


NDALICHACHAKO NAOMBA UTUTUMBULIE NA HAYA MAJIPU YA WAKUU WA SHULE

Wakuu wa shule nyingi wamekuwa ni kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya taaluma katika shule nyingi za sekondari hususani kuzigeuza kuwa saccos zao naikitokea mtu au mwalimu akauliza kuhusu hizo saccos mara...

View Article

Msc. Accointing &Finance

Mimi ni 3rd year mzumbe Moro BAF, nataka niunge MAF Mzumbe dsm campus au MBA finance UDSM. Ninaomba neno la shauri katika haya machaguo. Pia kwa upande wa MAF dsm nilitaka nijue mazingira pale chuo...

View Article

Hivi kipi kinasababisha Vyuo Vikuu Tanzania havipo kwenye vyuo bora 50 Duniani

Kila nikiangalia vyuo vyetu hapa Tanzania nione katika Ubora wa vyuo bora Duniani hata 100 bora hatupo hivi tatizo nini wadau?

View Article


Naweza kwenda JKT ile hali sijachaguliwa

samahani wakubwa kuna hili suala linatutatiza huku mtaani ....kwamba je mtu anaweza kwenda JKT hata kama hajachaguliwa lakin nae kahitim kdato cha sita mwaka huu......ASANTENI

View Article

haya hapa majina mapya(nyongeza) ya wanafunzi wa form 6 kwenda JKT

haya hapa>>>>>>>>>BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA NYONGEZA(MAPYA)YA WANAFUNZI KIDATO CHA 6 KWA MUJIBU WALIOCHAGULIWA JKT 2016 | MASWAYETU BLOG

View Article

Mshahara jamani badooooo njaaaaa.

Ndugu wanajamvi tupeane update za mshahara Mimi njaaaa inaniuma sanaaa

View Article


KOZI FUPI YA AutoCAD

wapendwa naweza kupata wapi kozi fupi ya program ya AutoCAD?

View Article


Kwa mwenye kujua tafzal msaada..

Za cku wana membr..Npo udom 1st yr nilikuwa n taka kujua kma una weza kukaa kitaa bila kulipa dirct cost au hata km una kaa una takiwa kulipa ila ada na lipiwa na body y mkopo..naomba mnijuze tafzl

View Article

Ualimu ni fani ngumu

Walioko nje wanalia wanataka kuingiaaa Ndani. Pia walioko Ndani wanalalamika mshahara mwezi huu vipi hazina? Unajifunza nini hapo kuhusu hii field ya ualimu ambayo haina hata marupurupu ? Usipojiongeza...

View Article

Review ya CISA Inaanza leo 09/05/2016

True Ink Associates would like to announce the CISA (Certified Information Systems Auditor) review class will start today on 09/05/2016 at DSM City Center Raha Tower Building .The course duration is 5...

View Article

Vyuo vya afya vya private wakuu

wakuu naomba mnisaidie kunitajia vyuo vya afya vya private katika clinical officer na medical labaratory technology

View Article


Naomba Msaada Kutoka kwa Wanachuo wa Chuo Cha Ufugaji Nyuki Tabora!

Wasalaam, Kama kuna Mwanachuo wa Chuo Tajwa Hapo Juu,au Una Nduguyo au Rafikiyo Asoma Hapo Naomba Mnisaidie Shida Moja au Mbili! Masomo Yanayo Fundishwa Hapo Yakoje na Pia Mazingira ya Chuo...

View Article

Jipu linalotesa watoto wa masikini IAE.

Ndugu wanajamvi,Nimesikitishwa sana Rafiki yangu namdai nilimkopesha mtoto wa masikini mkopo wake ulienda mzumbe amefaiti mpaka Tarehe 18 aliusaini pale insititute of adult education ili uingie kwenye...

View Article


jeshini

Jamani nauliza kama mtu ajapangwa jeshi alafu akaenda kambi yoyote watamrudisha au?

View Article

Msc. Accounting &Finance

Mimi ni 3rd year mzumbe Moro BAF, nataka niunge MAF Mzumbe dsm campus au MBA finance UDSM. Ninaomba neno la shauri katika haya machaguo. Pia kwa upande wa MAF dsm nilitaka nijue mazingira pale chuo...

View Article


MSAADA KUHUSU MKOPO WA ELIMU YA JUU

Naitwa Benjamin Samwel ni mhtmu kdato cha sita 2016, naomba kufaham lin application za mkopo wa elimu ya juu zitaanza na mwisho ni lini, pia naomba msaada kuhusu namna ya kuapply, vtu vnavyohtajka...

View Article

Jipu linalotesa watoto wa masikini IAE.

Ndugu wanajamvi,Nimesikitishwa sana Rafiki yangu namdai nilimkopesha mtoto wa masikini mkopo wake ulienda mzumbe amefaiti mpaka Tarehe 18 aliusaini pale insititute of adult education ili uingie kwenye...

View Article

MSAADA: UPANDISHWAJI VYEO (MADARAJA) KWA WALIMU UNAZINGATIA NN?

Wadau habari za muda huu,jamani mimi naomba kujuzwa juu ya vigezo vinavyotumika kumpandisha cheo mwalimu,maana kwangu ninaona kama ni jambo la bahati nasibu. Mfano,kuna waraka ulotoka wa 2016 ambao...

View Article
Browsing all 21927 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>