Msaada tafadhali kuhusu matokeo haya
Anaweza kusomea nini kwa matokeo haya. 1.Civics-D 2.History-D 3.Geography-D 4.Kiswahili-C 5.Biology-F 6.B/Math-F 7.Physics-F 8.Chemistry-F 9.English-D Division four ya 29 mwaka 2010. Kurudia amekataa
View ArticleTofauti kati ya bachelor degree na higher diploma
Kuna tofaut gani kati ya bachelor degree na higher diploma ? Nimeaona wote ni nta level 7, je higher diploma akimaliza anaweza kusoma masters,pili wote wakimaliza chuo wanaajiriwa cheo kimoja?
View ArticleAnataka kusomea Ufamasia au Physiotherapy
Salam ndugu, nina mdogo wangu alimaliza form four mwaka 2006,akapata matokeo yafuatayo:- Civics-B, Kisw-D, English-D, History -C, Chem-B, Bios-B, Agriculture Science-C, Geog-D Math-F. Alichaguliwa...
View ArticleHabari njema kwa walimu wanaosubiri ajira
Naibu Waziri Ofisi Ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Selemani Jafo, amewatoa hofu wahitimu wa Kozi ya Ualimu ambao wamekuwa wakisubiri ajira kwa muda mrefu. Akizungumza na...
View ArticleHow to read and study textbooks
Reading and Studying Textbooks: As soon as you buy your textbook for a class, give yourself a head start before going to class. Read the Table of Contents, prefaces, introduction, and any other...
View Articleushauri hp
nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje
View ArticleMbinu za kutozungumza broken English
Zipo mbinu nyingi sana za kufuta au kupunguza kuzungumza au kuandika broken English. Ni vizuri kutoa mbinu kulingana na broken husika. Hivyo, andika au uliza kwa Kiingereza ili tuangalie broken ipo...
View ArticleKukosekana kwa orodha ya baadhi ya vyuo NACTE (CAS)
Nilikua namjazia jiran angu vptaarifa zake kwa ajir ya kuvhagua vyuo ila kwenye kujaza vyuo na kozi ndipo naona vyuo kama UDOM, MUCE, MWENGE havipo na ni kozi za BED au BAED shida nn
View ArticleHELSB, OLAS bado hawajaanza kupokea maombi ya mikopo 2016/2017
Hii habari ni kwa ajili ya wanafunzi wote waliomaliza form six mwaka huu ambao wanataka kuapply loans board ili waweze kupata mkopo kwa ajili ya mafunzo elimu ya juu. Hali ni iko ivi loans bodi bado...
View ArticleSekondari Kongwe za Umma Kurejeshewa Makali yake.
Serikali imeeleza mkakati wa kuzirudisha shule 33 maarufu katika ubora wake ili ziweze kufanya vizuri kama ilivyokuwa zamani. Mkakati huo ulielezwa jana na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na...
View ArticleNEW ECONOMICS BOOK
Kwa wanafunzi wa Kidato cha 5 wa sasa na wale wanaotarajia kuanza kidato cha 5 mwezi Julia, 2016, Kitabu kipya cha somo la ECONOMICS kimetoka kwa paper 1. Kinafuata Syllabus mpya ya mwaka 2009. Unaweza...
View ArticleDAR ES SALAAM INSTUTE OF TECHNOLGY vs ST JOSEPH COLLEGE OF ENGEERING
heshima kwenu wa janvini...niko katika optional za kusoma moja wapo ya vyuo tajwa hapo juu sasa bado sijajua kipi n best kwa engeenering..japo sijapata sifa za vyuo vya mbali kama MUST na...
View ArticleSPONSORSHIP ZA VYUO VYA KILIMO
habarini wadau kuna vyuo vya kilimo mf.igirusi mbeya wametoa sponsorship kwa ngazi ya diploma hivi mtu akipata hiyo je anaweza akaajiriwa ama soma uondoke tafadhari wenye kujua hili waje kunipa ushauri...
View ArticleActurial science vs Accounting
Wana Jamvi, ningependa kujua kama mwanafunzi aliyesoma ECA, au Diploma in Accouting (GPA 4.7)..kama ataweza kuingia Acturial science UDZM... Kama haiwezekana... Bcom in accounting UDZM.. Bsc A & F...
View ArticleMwanafunzi wa diploma ya nursing and midwifery anaruhusiwa kusomea degree ya...
Habarini za mchana ndugu zangu!!Nilikuwa nauliza ya kwamba nurse au midwifery anaruhusiwa kusomea doctor of medicine
View ArticleKwa matokeo haya anaweza kusoma diploma in Accounting?
Habari wakuu. Naombeni msaada kuna dogo amemaliza form 4 akapata div Two with Credit in Maths, Book Keeping, and Commerce sasa anataka kuanza Diploma in Accounting mwaka huu. Je anaweza kupata...
View ArticleMsaada ku kuomba scholarship waliosoma law open university of Tanzania
Habari za leo ndugu, kuna ndugu yangu alimaliza bachelor ya law open university of tanzania yupo kijijini kaniomba nimuangalizie mkopo kaniambia almost wote wanapewa na wanakua favoured hasa wale...
View ArticleNACTE watangaza waliokosa nafasi-afya april intake 2016
Zaidi ya waombaji 1900 waliyoomba kozi za afya INTAKE YA APRIL hawakuchaguliwa kwa kozi walizoomba. Muda wa maombi umesogezwa hadi 26/4/2016 ili wajaribu kuomba kwenye vyuo ambavyo bado vina nafasi....
View ArticleMsaada wakutambua cheti kilichoibiwa kinakotumika kwa sasa.
Kama maada inavyojieleza hapo juu mie ni mhanga wa hiyo kitu cheti changu cha kumaliza kidato cha nne (academic certificate) sikubahatika kukiona na hii ni kwasababu pindi vyeti vinatoka nilikua shule...
View ArticleWizara ya elimu vipi juu ya mtaala mpya wa kkk kwa madarasa ya awali 1 na 2
Wizara na serikali ilifanya mabadiliko ya sera, ikafuatiwa na mabadiliko ya mtaala wa darasa la kwanza na la pili wa mwaka 2015 ambao unazingatia lugha rahisi kujifunza na umahiri wa mtoto kiujuzi na...
View Article