Kuna tofaut gani kati ya bachelor degree na higher diploma ? Nimeaona wote ni nta level 7, je higher diploma akimaliza anaweza kusoma masters,pili wote wakimaliza chuo wanaajiriwa cheo kimoja?
↧