Naomba kujua ada za shule ya Tusiime
Wadau naomba kufahamu gharama za ada zinazotozwa na shule ya msingi/ sekondari Tusiime kwa anayejua (day&boarding).
View ArticleKati ya Udaktari na Uinjinia taaluma ipi inalipa zaidi
Kwanza nawasalimu wote na ninawatakia weekend njema. Back to the topic. Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali kuhusu taaluma hizi mbili zenye mvuto sana, hasa kwa vipanga wengi ambao huziota kila...
View ArticleKwa wale mnaopokea mikopo boom na hela ya kujikimu chuoni tumieni vizuri
Kwa wale mnaopokea mikopo boom na hela za kutosha kutoka nyumbanj tafadhali tumieni vizuri jamani wengine tunatafuta hata wa kutupa walau buku kumi chuoni tunakosa. Na wenyewe mnajua maisha ya chuo...
View ArticleMwaka 1998, nini kilitokea mpaka serikali ikaamua kurudia mtihani wa taifa?
Juzi kati niliota kuwa mtihani wa form six unarudiwa,tatizo aliyetangaza si waziri huyu(Prof Ndalichako). Hii ya kuota inaweza kuwa imechangiwa na kusikia kuwa pepa imevuja sana hivyo akili kuforce...
View ArticleUSHAURI WADAU
Wadau kwa combination ya EGM chuo naweza kusomea kozi gani nzuri Naombeni ushauri kwa Mnaojua[emoji621]
View ArticleJKT kwa mujibu wa sheria kwa wahitimu wa kidato cha sita 2016 sasa ni rasmi...
Muda wa kuripoti kwenye kambi uliyopangiwa ni kati ya tarehe 1 na 5 mwezi wa sita, mafunzo ni ya miezi mitatu. kila la heri. View attachment 349596 View attachment 349597 Majina yanapatikana hapa...
View ArticleMwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie...
View ArticleHawa NACTE wanaibia watu au nini hiki?
Kupitia CAS ya NACTE deadline applications za degree mwisho mei 31 mwezi huu,ukianza kuaply katka ile hatua ya kuchagua chuo, list ya vyuo vikuu haiji.Hata taarifa ya mabadiliko yoyote hawajatoa kwenye...
View ArticleNaweza kwenda JKT ilhali sijachaguliwa?
samahani wakubwa kuna hili suala linatutatiza huku mtaani ....kwamba je mtu anaweza kwenda JKT hata kama hajachaguliwa lakin nae kahitim kdato cha sita mwaka huu......ASANTENI
View ArticleKwa comb ya EGM unaweza soma kozi gani nzuri wadau Ushauri
[emoji433] [emoji432] [emoji430]
View ArticleSELECTION KIDATO CHA TANO 2016
naombeni Masada wenu wana jukwaa kwa anayefahamu selection lini atujuze coz tumesubiri sana
View ArticleDr Ndalichako mwarobaini wa elimu ya Tanzania
Ni wazi kuwa siasa ilikuwa imevamia elimu ya Tanzania. namuomba waziri wa elimu mpya aweke mambo sawa
View ArticleSERIKALI IMULIKE ZAIDI VYUONI.
Nasikitika sana kusema kuwa vyuo vikuu vyetu, hasa vya serikali, vina madudu mengi sana! Vyuo hivi vinanyanyasa sana wanafunzi kwa namna tofauti. Mfano ni chuo fulani kikubwa huko Dodoma. Napata hisia...
View ArticleJipu limeiva chuo cha institute of adult education
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,Ndugu wana jukwaaa namasikitiko makubwa na chuo hiki kinavowatesa watoto wa masikini kwa kuwacheleweshea hela zao za maraz toka loan bord hata pia wakisaini pesa hizo...
View ArticleMwenye taarifa sahihi za udom atujuze
Kwa taarifa kuwa wanafjnzi 7000 kusimamishwa mosomo na kuamuriwa kurud majumbani
View ArticleKwa nini walimu wengi wanaotokea DUCE na MUCE wawapo field au kazini...
Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha thread kinavyojipambanua kwa nini hawapendi kujitambulisha kwa kutaja majina halisi ya branch zao? Mwenye kujua sababu tafadhali tiririka kidogo
View ArticleKukosekana kwa orodha ya baadhi ya vyuo NACTE (CAS)
Nilikua namjazia jiran angu vptaarifa zake kwa ajir ya kuvhagua vyuo ila kwenye kujaza vyuo na kozi ndipo naona vyuo kama UDOM, MUCE, MWENGE havipo na ni kozi za BED au BAED shida nn
View ArticleUdom
Special diploma tumerudishwa nyumbani mpaka serikali itakapo toa mstakabali wa masomo yetu, hivi serikali ilikuwa haijajipanga kwel au ndio tumeshatemwa kisiasa?
View Article