HAPA KUNA SELECTION JMN
Duuuh huyu dogo anatisha je kwa results hizi atachaguliwa kweli kwa haya matokeo DIV III 25 CIV D HIST D KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH D
View ArticleDSM MLIMANI TEACHERS COLLEGE
naombeni kwa anaye kufahamu hiki chuo anipe ufafanuzi na je kipo jirani na UDSM na veep kuhusu taaluma kinafaa kuchukua DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION kwa mtu mwenye dv3
View ArticleMSAADA
Nimesoma uganda sasa naitaji kusoma hapa chuo je unavyoomba nacte baadae unapeleka cheti chuoni au kopi ya cheti?
View ArticleHili liko sahihi wanajamvi?
Wasalaam, Iko hivi, kuna shule moja ya msingi hapa mjini wa darasa la sita wameagizwa waende shule na kondom na ndizi kwa ajili ya practical ya somo la sayansi kujifunza jinsi gani ya kutumia kondom....
View ArticleNjaa kali saana! boom jaman kulikoni
serikali na wizara ya elimu wamelala sasa, wiki ya 10 inaelekea wana UDSM hawana boom sijui wahusika wanalitazamaje hili, au mpaka maandamo ndo watumbuliwe? tumechoka na unafiki wa hapa kazi tu pasipo...
View ArticleVyoo vya UDSM vinatia aibu (95% vimeziba)
Nikiwa nimejiunga UDSM mwaka huu kwa ajili ya kuongeza Elimu toka nimeingia hapa mtu ukibanwa na haja inabidi ujifikirie mara mbili ama uende porini (Hasa Pori lile la Kuelekea Changanyikeni au...
View ArticleSelection kidato cha tano 2016 zinatoka lini?
Naombeni Masada wenu wana jukwaa kwa anayefahamu selection lini atujuze coz tumesubiri sana
View ArticleMsaada wa vitabu vya Auditing theory and practice.
Habari zenu wanajukwaa.. naomba mwenye kujua vitabu hivi vya Auditing vya kufundishia. Tafadhali kwa anayevifahamu vile vizuri zaidi naomba mnitajie. Wakuuu.. najua wataalam wa sector iyo wapo tele...
View ArticleHili la kwenda shule na condom na ndizi liko sahihi wanajamvi?
Wasalaam, Iko hivi, kuna shule moja ya msingi hapa mjini wa darasa la sita wameagizwa waende shule na kondom na ndizi kwa ajili ya practical ya somo la sayansi kujifunza jinsi gani ya kutumia kondom....
View ArticleChuo kipi kizuri kusoma Diploma in primary education
Jamani naombeni Masada wenu mnao vifahamu hivi vyuo kipi kipo powa Kati Ya MLIMANI TEACHERS COLLEGE, MOROGORO TEACHERS COLLEGE AND KOROGWE TEACHERS COLLEGE
View ArticleMsaada: Kuhusu chuo cha Mlimani Teachers College
Naombeni kwa anaye kufahamu hiki chuo anipe ufafanuzi, Je? kipo jirani na UDSM na veep kuhusu taaluma kinafaa kuchukua DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION kwa mtu mwenye Division III
View ArticleUtaratibu wa kuhama wilaya kwa walimu
Ndugu wanajamvi naomba utaratibu wa kuhama wilaya kuhamia wilaya nyingine bila kubadilishana mtu kwa MWALIMU.
View ArticleBiomedical Equipment Engineering
habari watanzania.nmechaguliwa coz tajwa hapo juu,pale dit,diploma.ila kuna ndugu huku ananishaur nikabadlshe na kusoma civil.anasema hailipi.kwa wanaoifaham vp soko lake?inalipa au nichanje mbuga?
View ArticleLooking for University Physics book
Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
View ArticleWadau Mfano unasoma Art's na Matokeo ya O-level ukafaulu HGL, HKL, HGK na...
Na Unaplan ya kusoma EGM Je, kusoma combination unayotaka ni uamuzi wako au serikali inakupangia combination wanayoitaka au inakuwaje yaan katika swala la kwenda A-level inakuwaje mpaka upate...
View ArticleBodi ya mikopo (HESLB) kunani??
Bodi ya mikopo (Heslb) mpaka sasa hawajatoa fomu au maelekezo kwa wahitimu kidato cha sita 2016 na watu wengne wenye uhitaji wa ufadhiri wa masomo kwa mwaka wa masomo 2016/17 tofaut na ilivyozoeleka...
View ArticleJuliana Shonza: Kigezo pekee cha kutoa mikopo kiwe ni ufaulu
Shonza amedai wale wanaostahili kupata mikopo hawapati na wale wasiostahili mara nyingi huwa ndio wanaopata, amedai pia bodi haijajitambua kuwa ule mkopo wanaotoa ni mkopo au hisani ndio maana vigezo...
View ArticleMadaraja ya walimu yanapanda kwa utaratibu gani?
Nimetafuta kujua utaratibu wanaoutumia waandamizi tsd ni vigezo gani wanatumia kubadili madaraja ya waalimu naona sielewi vizuri naomba kujulishwa......
View Article