Walioko nje wanalia wanataka kuingiaaa Ndani.
Pia walioko Ndani wanalalamika mshahara mwezi huu vipi hazina?
Unajifunza nini hapo kuhusu hii field ya ualimu ambayo haina hata marupurupu ? Usipojiongeza umekwisha