Quantcast
Channel: Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Browsing all 21927 articles
Browse latest View live

Kwenda jeshi kwa form 6 mwaka huu

Wakuu humu ndani naimani kuna watu madhubuti wa kujibu hili suala la kwenda jkt kwa form 6 baada ya kumaliza miezi mi3 lipo au halipo?na je vip kuhusu ukipata div. three huendi kuchukua degree chuo...

View Article


Msaada juu ya hili jamani

Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka 2014 na kupata gpa ya 1.4 na ufaulu katika masomo saba aliyofanya ni huu. Kisw B eng B geo B cvcs D bios E histor E math F na yeye ndoto zake ni kuwa...

View Article


Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

Hivi inachukuwa mda gani kufunguliwa kwa system ya kuapply mikopo baada ya mtihani wa kidato cha sita naombeni msaada

View Article

Foundation course

Hivi foundation course ikoje na je kama mtu akisoma degree kwa kupitia hii anakuwa na thamani sawa na aliyepitia kidato cha sita

View Article

Kozi za fani ya umeme VETA-Kipawa

Je ninaweza soma shortcorse ya miezi3 katika fani ya umeme kwa corse zitolewazo veta kipawa nikaweza ruhusiwa na tanesco kufanya wiring ktk nyumba kibiashara

View Article


HESLB na TCU hawajaanza kupokea maombi?

Naomba Kuuliza Vipi Kuhusu Hawa HESLB na TCU bado Hawajaanza Kupokea Maombi (Online Application) Kwa Ajili Ya Vyuo Vikuu Mwaka Wa Masomo 2016/2017?

View Article

Ni vyuo vipi vinavyotoa Shahada ya Ufugaji Nyuki?

Hapa Tanzania,ukiacha kile cha Tabora kinachotoa Diploma na Cheti,na vyuo gani vinavyotoa kozi hiyo ngazi ya Shahada!?

View Article

Mabadiliko mitihani ya Mock Geita

Mitihani ya Mock kwa mkoa wa Geita imeanza Jana na kuendelea kwa form four jambo ambalo si la kawaida mitihani hii inasimamiwa na walimu wa shule husika na kusahishwa na mwalimu wa somo Usimamizi na...

View Article


Mtihani wa utamilifu kidato cha nne (MOCK) mkoa wa Geita una swali moja tu

Nimeshangazwa sana na utararatibu wa mitihani ya mock Mkoani Geita hasahasa somo la Uraia kutokan na kuwa na swali moja tu lenye item( a-n)badala ya namba pia kuna ufupisho katika passage umeniacha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mafinga College of Business Education (MACBE)

hapo ni sehemu ya kupata elimu na kujifunza mengi juu ya soko la ajira na namna gani ujikwamue ...karibu mafinga collge fanya maamuzi sasa hujachelewa ...karibu mjuze na mwingine

View Article

Mkutano wa Berlin

Mkutano wa berlin ulifanyika siku ya jumapili 15/ November /1884 hadi febuary 1885. Mkutano huu ulijumuisha wajumbe wa nchi 14 za ulaya na wajumbe kutoka USA. Mkutano huu uliitishwa na aliekua kansela...

View Article

Msaada kwa aliyewai kusoma Malawi

habari za saa hizi waungwana najua huku nakutana na wasomi wengi nilikua naomba kujua kama kuna aliyesoma Malawi level yeyoye tuwasiliane kuna mambo mengi ningetaka tuongee na tushauriane pia ni msaada...

View Article

Niulize chochote kuhusu DUCE

Wakuu salam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshatoa first batch kwa undergraduate so nina amini kuna watu wamechaguliwa Dar es Salaam University College of Education (DUCE), mimi ni mwanachuo wa hapa...

View Article


Al-Haramain Islamic Teachers' College ni uozo mtupu

hiki chuo uongoz wake n udikteta mtupu principle n majanga tu hasikilizi ushauri wa mtu yeyote c walmu wake serikari ya wanafunz wa chuo hawackilizwi uksema unatishiwa kufukuzwa chuo, wakufunzi...

View Article

Education

KUCHELEWA KUJISAJILI MTIHANI WA MWISHO MUHULA. nifanye utaratibu gani, naomba ushauri. nipo Open University.

View Article


Shule ya Private A Level yenye Ada Nafuu

Kuna bwana mdogo mtaani hapa alikuwa anaulizia shule yenye mchepuo wa CBG yenye bei nafuu. Any recommendations please...

View Article

Vitu gani vinahitajika katika kuomba udhamini wa Bodi ya Mkopo?

Wanajamvi naomba kujua mambo ya kufuata na vitu vinavyohitajika wakati wa kujaza fomu za mkopo wa elimu ya juu. Au kama unaweza kueleza chochote kuhusu uombaji wa mikopo nitashukuru pia.

View Article


Wahasibu(accountants) tukutane hapa

Habari wakuu,tupo miongoni mwetu wahasibu ambao wamekwishaajiliwa ama kujiajili,lakini tupo wale ambao tumehitimu mafunzo ya uhasibu na tunatafuta ajira,bila kusahau wale ambao bado tunasoma...

View Article

Utata wa vyeti vya O-level na A-level vya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere...

Kuna utata katika majina ya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere na Dr.Mosses Kusiluka wa Ardhi University. Hili suala linafaa kuchunguzwa kwani Dr.Magoti wa Mwalimu Nyerere Academy ameoa nyumba moja na...

View Article

Wachache sana waliweza kukukotoa hii Hesabu, jipime!

Ukiweza basi ujue upo kati ya watu wenye IQ above average kwani wengi binadamu wengi sana walishindwa kupata jibu sahihi, uwanja ni wako (zingatia muda unaotumia pia kupata jibu)!! 9 - 3 ÷ 1/3 + 1 = ?​

View Article
Browsing all 21927 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>