Fani ambazo ni adimu sana Tanzania
Wasalaam wana JF. Juzijuzi nilimsikia rais akitamka kuwa tunao wataalam wachache sana (takribani wa nne) nchi nzima wa maswala ya moyo. Ambapo alisema wawili wapo Muhimbili, mmoja Bugando na mwingine...
View ArticleNimechoka kusubiri ajira za walimu
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine mambo...
View ArticleVyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga
Hii ni thread maalumu kwa wale form four wote wenye kutamani kujiunga na vyuo vya ufundi Vyuo hivyo ni Dar es sallam institute of technology(DIT) Mbeya university of technology(MUST) Arusha technical...
View ArticleVyuo vinavyotoa Masomo kuanzia Mchana au Jioni Kwa kada ya Uhandisi.
Naomba kufahamu vyuo vinavyofundisha kozi za uhandisi kama "Diploma" in (Civil, Electrical, Water Eng, Mechanical,Computer etc) ambavyo mwanafunzi anaweza soma asbh na ratiba nyingine wanaweza kuingia...
View ArticleBodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
Hivi inachukuwa mda gani kufunguliwa kwa system ya kuapply mikopo baada ya mtihani wa kidato cha sita naombeni msaada
View ArticleNAOMBENI USHAURI WAZEE WENZANGU
nina mdogo wangu ambae amemaliza kitado cha nne 2012 hakufaulu vizuri kipindi hicho alipata vi d vitatu kwa maana hiyo alipata 4 point 32 nahitaji kumsaidia huyu kijana ambae lengo lake ni kuwa...
View ArticleWahasibu(accountants) tukutane hapa
Habari wakuu,tupo miongoni mwetu wahasibu ambao wamekwishaajiliwa ama kujiajili,lakini tupo wale ambao tumehitimu mafunzo ya uhasibu na tunatafuta ajira,bila kusahau wale ambao bado tunasoma...
View ArticleMaombi ya vyuo vikuu na mikopo kwa waliomaliza diploma yanaanza lini?
Mambo zenu wadau kwema jamani nahtaji anaejua juu ya mchakato wa uombaji wa vyuo vikuu na mikopo pia kwa walimaliza diploma mwaka Jana je wameshaanza kuomba au bado
View ArticleCombination ipi kati ya hizi inalipa?
Kati ya combination hizi; HGL,HKL,HGK,HGE ipi itanitoa kimaisha?
View ArticleMwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie...
View ArticleMsaada katika hilo swali.
Analyze the significance role of indirect rule and indirect rule in the colonial domination of Africa.
View Articlechuo bora
hapo ni sehemu ya kupata elimu na kujifunza mengi juu ya soko la ajira na namna gani ujikwamue ...karibu mafinga collge fanya maamuzi sasa hujachelewa ...karibu mjuze na mwingine
View Articlemsaada
Wakuu naomba msaada kwa mwenye ujuzi na hili, naulizia Shule ya bweni/day yenye ada nafuu sana, kuanzia laki 7 kushuka chini ambayo nitaweza kumsomesha kijana wangu kuanzia form 2 mpaka4 Iwe ya Boys,...
View ArticleBodi ya Mikopo watafungua lini mtandao wao?
Jamani naomba kujua kama OLAS ni lini watafungua mtandao
View ArticleUtaratibu wa walimu kubadilishana vituo vya kazi
Naomba kuuliza jmn. Utaratibu wa jambo hili ukoje hasa ktk mda wa kukaa kazin. Mf kwa mwalimu mwenye kwaka mmoja kazini anaruhusiwa kubadilishana baada ya kuthibitishwa kazin?
View ArticleMsaada chuo cha sheria ngazi ya cheti.
ndugu wanajamvi kama kichwa habar knavyojieleza, naomba msaada wenu wa kuvijua vyuo vya sheria kwa ngaz ya cheto coz kunamdogoangu almalza kdato cha nne mwaka 2012 xo anataka akajiunge mwaka huu na pia...
View ArticleJE HUU UVUMI NI WAKWELI? NAHITAJI KUFAHAMU WADAU
Habari wana Jf.! Nilisikia tetesi kuwa mwaka huu atakayepata division 3 kidato cha sita hataweza kujiunga na vyuo vikuu vya serikali na ataanza na level ya diploma na si degree. Je hii ni kweli? Kwa...
View ArticleKwa aliyesoma/anasoma National Meteorology Training Centre Kigoma
Km wew umesoma hicho chuo au unasoma mpaka sasa naomba unipm kupitia 0767874060 kuna kitu nataka kujuzwa
View Article