Quantcast
Channel: Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927

Mwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

$
0
0
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography....


Mwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>