Quantcast
Channel: Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927

Msaada juu ya hili jamani

$
0
0
Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka 2014 na kupata gpa ya 1.4 na ufaulu katika masomo saba aliyofanya ni huu.

Kisw B eng B geo B cvcs D bios E histor E math F na yeye ndoto zake ni kuwa mwalimu na kwa sasa kwenda ualimu ni kuanzia gpa ya 1.6 au division 3.

Tusaidieni jamani kama ualimu imeshindikana anaweza kwenda wapi kwa matokeo hayo!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>