Kuna utata katika majina ya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere na Dr.Mosses Kusiluka wa Ardhi University. Hili suala linafaa kuchunguzwa kwani Dr.Magoti wa Mwalimu Nyerere Academy ameoa nyumba moja na Prof.Kusiluka aliyekuwa DVC Academy wa OUT na ndio maana alimuajiri Mosses Kusiluka ambaye vyeti vyake vina utata/walakini. Dr.Magoti pia alimuajiri Erasto Muhagama aliyetumia vyeti vya kugushi na alipofichuliwa baada ya kumsomesha degrii ya pili alimshauri aache kazi baada ya TAKUKURU...
Utata wa vyeti vya O-level na A-level vya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere Academy
Utata wa vyeti vya O-level na A-level vya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere Academy