Quantcast
Channel: Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Viewing all 21927 articles
Browse latest View live

Msaada wa haraka kuhusu kozi ya kusomea chuo kikuu, Nimesomea PCM

$
0
0
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nilimaliza kidato cha nne mwaka 2002 na kufanikiwa kupata division1 ya 14 na nikafanya Advance level mwaka 2006 PCM na kupata division 2 ya 12 (Phy E, chem C na Advance math E) baada ya kumaliza form6 nilipata tamaa ya kusafiri kwenda kutafuta maisha ughaibuni lakini mambo yangu hayakwenda kama nilivyotaka niliishia kubeba box na sikufanikiwa kupata permit ya kuishi.

Now nimerudi hapa nyumbani Tanzania na nimeona kitu ambacho kinanitoa kwa upande wangu...

Msaada wa haraka kuhusu kozi ya kusomea chuo kikuu, Nimesomea PCM

Mwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

$
0
0
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography....


Mwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

MTC,MIST and MUST special Thread....

$
0
0
Here we Can Meet,discuss,Enjoy and Share the Opportunity of Bond,between Wajumbe.....
RIP Kilagane
RIP Mukurasi
and all that,

Karibuni Watoto wa Zuberi,na Msambichaka......

Makala ya Chichimizi

$
0
0
"WASOMI" NA NDOTO ZA ABUNUASI

Hebu vuta picha,namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule msingi. Umepiga jaramba maili kadhaa kuifata shule.Umekumbana na kashkashi za walimu "wanoko",ukiwaona tu bandama zilikuwa zinacheza "ndombolo" na tumbo liliunguruma kama jenereta la kiwanda.

Kasheshe ni pale ulipochaguliwa high school shule ya bweni! Enzi zile za ugali na maharage kama Segerea,...

Makala ya Chichimizi

Mwenye tetesi na hili jamani

$
0
0
JAMANI AJIRA ZA WALIMU WAPYA 2016, WALIOMALIZA VYUO MBALIMBALI 2015 VIPIIII???? Maana vijana kitaa njaa kali wanalia Lia wwatakuwa wezi....

Kigoma manispaa mbona hatupewi barua za kupanda daraja?

$
0
0
Kweli ualimu wito sio ajira mana watu wanafanya wanavyotaka tuu, nakatishwa tamaa sana na hii kada ya ualimu kimsingi Walimu wa kigoma manispaa tulioajiriwa 2012 hatujapewa barua za kupanda madaraja mpaka sasa ijapokuwa wenzetu wa halmashauri zingine wameshapewa barua za kupanda daraja kuanzia Kigoma vijijini,Kasulu na Kibondo ukiachilia mbali mikoa mingine mingi kama Geita waliopandishwa mwaka jana Kahama mapema mwaka huu Makete nk.

Kuona hivyo tukashtuka na kuanza mikakati ya kufahamu ni...

Kigoma manispaa mbona hatupewi barua za kupanda daraja?

Mwalimu wa sekondari

$
0
0
Njoo Morogoro wilaya mpya ya Malinyi,nije morogoro mjini,Mvomero,Kibaha,au iringa phone.0719336618

kozi ya diploma irrigation ina soko la ajira zuri??/


Kampala University Gongo la Mboto kuna kozi ya Education?

$
0
0
habari .
naomba kujuzwa kama KIU kuna kozi ya education ngazi ya diploma!..
shukran

Kweli mtu mwenye G.P.A ya Pass anaweza pata kazi?

$
0
0
Habarini wadau!!

Ni hivi nna jamaa yangu tumemaliza nae BA in business administration Ana g.p.a ya 2.6!! so vipi Ana uwezo kweli WA kupata kazi...maana anawaza kurudi kusoma undergraduate upya au akomae Tu apige postgraduate coz roho inamuuma kwa kupata pass AFu akiniangalia mwenzie nimeunga masters!. Mawazo yenu wadau akikomaa kweli anaweza pata kazi kwa g.p.a hiyo au mwakani aanze upya tu undergraduate degree au postgraduate!

Ubora wa Shahada za Uzamili kutoka Chuo Kikuu Mzumbe

$
0
0
Wadau nachukua nafasi hii kuwatahadharisha wanaotarajia kusoma Masters za Mzumbe ni kimeo tupu mimi nilianza Masters hapo ya Corporate Management duuh! walimu ni kama vile hawajui kitu wakiingia darasani ni stori zisizo husiana na masomo tupu, waliotutangulia nao ni kutoa pesa kwa walimu ili wafanyiwe Dissertation nimeamua kuacha japo nilishalipia ada kiasi bora nikasome MBA ya ESAMI. Mzumbe jipangeni vinginevyo vyuo vingine vitawapiku.

Kuna mtu anayekijua chuo cha National Meteorogical Training Centre Kigoma

$
0
0
Msaada nimesoma O-Level masomo ya Science but Advance nimesoma Arts

Je naweza kujiunga na chuo hiki?

Ph. D za Wabongo na Dr. Edward Gamanya Hosea pamoja na Lugha ya Kiwahili

$
0
0
Jamani nimeweza kupata majina na title za waheshimiwa madaktari waliokwaa udaktari chuo kikuu cha Bongo. Kizuri sana ni Lugha ya kiswahili ambayo nimegundua kuwa ni ngumu kuliko kiswahili.

Pia nimeona title ya Dr. E. G . Hosea kwa kweli kama ameifanya hiyo PhD kwa uhakika nafikiri inaweza kuwa nyenzo muhimu kwake katika kupambana na rushwa. Sina haja ya kuwachosha jadili wenyewe.

1.Boneventure Bernard Saanane (Ph.D Electrical Engineering):
Madhumuni Anuwai ya Uboreshaji Mashine...

Ph. D za Wabongo na Dr. Edward Gamanya Hosea pamoja na Lugha ya Kiwahili

Msaada: Hali imekuwa tete, masomo yamezidi kuwa magumu

$
0
0
Habari wakubwa.

Mimi ni kijana nina miaka 20 ninasoma diploma in clinical medicine.Tatizo ni kwamba tangu tumeanza semester 2 naona mambo yameniwia magumu aisee
masomo magumu mno halafu kuna session nyingi mno.

Karibia session zote ni balaa mfano anatomy,pathology,clinical skills,communicable. Kila nikisoma sielewi afadhali clinical lab ndio nalionea.

Natamani nihame course niende hata nursing au pharmacy.

Jamani nauliza kuhusu post za vyuo vya Afya

$
0
0
Samahani naomba kuuliza kwa mujibu wa NACTE kuna vyuo ambavyo vitachukua wanafunzi kuanzia April 2016 na vinatakiwa kuanza tar 18 mwez huu lakini mpaka sasa post bado nani anajua kwa undani swala hili?

Ushauri wa shule nzuri ya kurudia form four please

$
0
0
Habari za kwenu?

Nina shemeji yangu amemaliza form four mwaka jana,na kupata alama ya D moja tu ya Kiswahili,kwa maana hiyo amepata Div Zero,alisoma shule za kata.

Sasa amesema anataka kurudi shule ikiwezekana arudie kidato cha pili au cha tatu ili aweze kufanya tena mtihani wa kidato cha nne,miaka ijayo.

Naomba msada wa kujua ni shule gani inaweza kuwa nzuri na kupata nafasi? Ningependelea apate shule ya boarding iliyopo kati ya mikoa ya kaskazini (Tanga,Kilimanjaro,Arusha na Manyara)...

Ushauri wa shule nzuri ya kurudia form four please

Najuta kufundisha lugha ya Kiingereza

Msaada: Arusha Institute of Accountancy

$
0
0
Naomba kujua utaratibu wa kujiunga na Certificate courses at Arusha Institute of accountancy. Application through NACTE ipo lakini at the same time wameweka application forms. Now, which is which? Please help

Msaada wa chuo kizuri kinachotoa Certificate in journalism

$
0
0
Habarini Wapendwa,, naomba mwenye kujua vyuo vizuri wanavyofundisha "Certicate ya Journalism" Anijuze... Ahsanten

Unaweza kusoma Udaktari ukiwa na combination ya CBG?

$
0
0
Wana JF.Naomba mwenye uzoefu.
Hivi unaweza kusoma Udakitari au masuala ya afya kama umechukua combination ya CBG?
ahsante
Bwojo
Viewing all 21927 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>