Quantcast
Channel: Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Browsing all 21927 articles
Browse latest View live
↧

Wasomaji wa Vitabu

Ni mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa la elimu lakini nimekuwa msomaji wa masuala mbalimbali ya elimu kama yanavyowasilishwa jukwaani. Wanabodi mimi nimehamasika kwa kipindi kuwa msomaji wa vitabu...

View Article


Karibu Chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole

Njoo jiunge na chuo cha kilimo na mifugo kaole wahi sasa nafasi ni chache kwa wanafunzi wa kidato cha nne na sita.

View Article


MWANAFUNZI: Weka swali linalokusumbua, Walimu humu wakusaidie

Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

Waliopangiwa Geita, wilaya ya Bukombe, au mtu yeyote yule anayeifahamu vizuri hiyo wilaya aniisaidie Mphamvu said: ↑ ​ Kutokana na walimu wengi wapya kuuliza mazingira na taarifa za msingi za mahali...

View Article

Mwalimu wa CISA anapatikana

Kwa wale wanaopenda kusoma tunawajulisha kuwa mwalimu wa kufundisha kozi mbalimbali za IS Audit, security, risk assessment and risk management, conrols,governance, Value for money Audit, performance...

View Article


Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

Habari za wakati hu bila shaka nyote ni wazima wafya katika ubora wenu, nasikia tu kutoka kwa watu eti ualimu ni njia yakutokea hakuna namna. Kwa maana umeingia kwenye hii fani ukiwa na maudhui yako...

View Article

Kauli ya "Ualimu ni Wito" inachangia kuua elimu

Kwa mda mrefu Tanzania kauli ya kwamba Kazi ya ualimu ni wito imekuwa ikitumika na kwa mazingira ya sasa inachangia kuua elimu yetu.Wito ni kufanya kitu kwa kujitolea bila malipo yeyote kwa...

View Article

Public Health in Kenya

Nahitaji kusoma bachelor of public health nchini kenya. Naomba ushauri katika mambo yafuatayo; 1. Vyuo vizuri vinavyotoa kozi hiyo. 2. Gharama na Jinsi ya kujiunga kwa Foreigner. 3. Mwaka wa kuanza...

View Article


Naomba kufahamu kuhusu Diploma ya Clinical Officer, MUHAS

Habari wakuu. Nimemalza kdato cha 4, 2013, na nimescore div one ya 12 {A ya bios na math, zlozobak B+ kasoro civic ndo B}ila kutokana na matatzo ya kiafya nilisoma kwa miez miwili 2,mpaka juz kat hapo...

View Article


Walimu waliojiendeleza kwenye TEHAMA

Kuna walimu ambao katika kujiendeleza kielimu wamesomea ujuzi au fani ambazo ni tofauti na ualimu ikiwa ni pamoja na waliosomea IT. Hapa ninamaanisha kwamba mwalimu aliajiriwa akiwa na elimu ya ualimu...

View Article

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu tusaidieni

Ndugu zangu bodi ya mikopo hili tatizo letu la mikopo ilioenda sehem nyingine na tulipochaguliwa mmefikia wapi kulitatua njaaa inatuuuma sana ,kuna wengine ni watoto YATIMA mnategemea waishije?Mlitoa...

View Article

Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

The courses equip graduates with skills to work in the logistics and transport industry. Major activities involve transportation of cargo through sea, air, railways or roads and recording of details of...

View Article

CPA: review classes

Centre ipi ipo vizuri kwa dar es salaam?

View Article


Je fasihi ni kazi ya sanaa

WAKUU.Naomba ufafanuzi na sababu za msingi.

View Article

Je fasihi ni kazi ya sanaa..

Wakuu,naomba ufafanuzi na sababu.

View Article


WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email),...

View Article

Mwenye uwezo wa kutengeneza website

Wandugu...natafuta mtu mwenye uwezo wa kutengeneza website. Tafadhali tuwasiliane : kbongole@yahoo.com au inbox huku kwy Jf.

View Article


Nataka kusoma postgraduate ya education open university

Habari wakuu, nilisoma degree yangu ya kwanza kozi ya I.T kutokana na ugumu wa ajira nimefikiria kusoma postgraduate open university kwenye kada ya ualimu chuo kikuu huria, je huku nako ajira ni za...

View Article

Naomba kujua utaratibu wa uhamisho nje ya Mkoa

Uhamisho

View Article

Waziri wa Elimu atinga Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala

Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa elimu bw kawambwa atinga kampala int university,ni mishale ya saa nne asubuhi hadi saa kumi na moja jioni,atumia masaa sita kuongea na utawala wa chuo na dk 45 tu...

View Article
Browsing all 21927 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>