Quantcast
Channel: Jukwaa la Elimu (Education Forum)
Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927

Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

$
0
0
Habari za wakati hu bila shaka nyote ni wazima wafya katika ubora wenu, nasikia tu kutoka kwa watu eti ualimu ni njia yakutokea hakuna namna.

Kwa maana umeingia kwenye hii fani ukiwa na maudhui yako binafsi na sio kupiga kazi(kwa manufaa ya watzania wanafunzi), 'Kama kuna mtu aliyebaki anamawazo finyu namna hi apewe taarifa mapema.

Ualimu sio njia yakupitia atafute kwingine, huku ni kwa watu walichagu kua walimu kwa kujipima wenyewe kwa maana yakufany kazi km mwalmu; mlezi; pmja...

Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

Viewing all articles
Browse latest Browse all 21927

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>