Wakuu heshima zenu,nilikua nataka nisome course ya CIMA yaani niwe Certified Management Accountant,sasa sijui kama hapa Tanzania kuna institution yoyote ambayo huwa inatoa hizo course hapa Tanzania.Kwa yeyote aliesoma hiyo course please information juu ya gharama zao na pia chuo kinachotoa hizo course kwa hapa nchini.
Qualification zangu ni kama ifuatavyo:-
Bachelor of Commerce na CPA(T) na pia nilitaka kufahamu kwa sifa nilizo nazo natakiwa kuanzia level gani?
Nawasilisha wakuu
Qualification zangu ni kama ifuatavyo:-
Bachelor of Commerce na CPA(T) na pia nilitaka kufahamu kwa sifa nilizo nazo natakiwa kuanzia level gani?
Nawasilisha wakuu